Watu
wawili kati ya wanne wanaosadikiwa kuwa majambazi wameuawa na wananchi
wenye hasira baada ya jaribio lao la kutaka kupora fedha zaidi ya
shilingi milioni 100 katika kiwanda cha kutengeneza chokaa cha Nelkanth
kilichopo eneo la Amboni jijini Tanga kushindikana.
Kaimu kamanda wa polisi mkoani Tanga kamishina msaidizi wa polisi
Juma Ndaki amewataja majambazi waliouawa kuwa ni
↧