Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
amemteua Mkuu Mpya mmoja wa Mkoa na kuwahamisha vituo vya kazi wengine
sita kuanzia Jumamosi, Desemba 6, 2014.
Taarifa iliyotolewa Jumapili, Desemba 7, 2014 na Katibu Mkuu
Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue mjini Dar es Salaam inasema kuwa
Rais amemteua Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Mkoa wa Arusha, Ndugu Daudi
↧