Kaka mtu aliyejitambulisha kwa jina moja la
Nicholaus amesimamia fumanizi la dada’ke ambaye ni mwanafunzi wa sekondari
moja jijini Dar ambapo
alimfumania chumbani na njemba mmoja sharobaro aliyetajwa kwa jina la
Abuu Ally, mkazi wa Mbagala-Charambe, Dar.
Akisimulia mkasa wa fumanizi hilo, Nicholaus alisema amekuwa akiumizwa na taarifa kwamba
kila ikifika saa 2: 00 usiku kuna
↧