Maandalizi ya siku ya uhuru wa Tanganyika (Tanzania
Bara) Desemba 9, kutimiza miaka 53, yanaendelea Uwanja wa Uhuru ambapo
kutakuwa na gwaride la kijeshi vikundi vya sanaa, kwaya, halaiki ya
vijana, ‘brass band’ na matarumbeta.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki, amesema milango
katika Uwanja wa Uhuru itakuwa wazi kuanzia saa 12:00 asubuhi ambapo
wananchi
↧