Jarida la maswala ya burudani, liitwalo Vibe Tz lililotoka hivi
karibuni,limepambwa kwa picha za muigizaji wa filamu hapa Bongo, Irene
Uwoya amaye ni mrembo aliyebarikiwa sura na umbo matata bila kusahau
rangi yake,kitu ambacho huwafanya vidume wengi kupagawa na kuwa na
mashabiki wengi wa kazi zake mbali nakipaji chake katika sanaa.
Japokuwa kwasasa ni mama wa mtoto mmoja , Uwoya
↧