Nina mdada wa kazi kuna siku kwa bahati mbaya alinikuta uchi chumbani.
Nilitoka kuoga kumbe yeye alikuwa chumbani
anachukua nguo za kuvaa watoto shule, sasa mie sikumuona vizuri nikajua
tu ni wife kumbe ni yeye, basi kwa kujiachia nilikuwa nimeweka taulo
mabegani na uku chini nikiwa mtupu manake yeye alikuwa upande wa pili wa
kioo.
Sina hili na lile kumbe yeye alishajua mie
↧