Diamond Platnumz Ashinda Tuzo Nyingine Nchini Nigeria.
STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' usiku wa kuamkia leo ameshinda tuzo nyingine huko Lagos nchini Nigeria kutoka The Future Awards Africa Prize in Entertainment 2014. Tuzo hiyo ya...
View ArticleMheshimiwa Rais Kikwete, tunakuombea kwa Mungu Upone Haraka.....Tuko nawe kwa...
Mheshimiwa Rais, kwa niaba ya watu wa Oman tuishio Tanzania na wenzetu waliopo Oman, tunakuombea Mungu akujalie uweze kupona haraka ili urejee katika majukumu yako na kuendeleza nchi kwa ‘speed’ yako...
View ArticleAmanda: Starehe kwanza,Mungu baadaye
Staa mwenye shepu ya aina yake ndani ya Bongo Movies, Tamrina Poshi ‘Amanda’ ameibuka na kusema kuwa siku ikifika atarejea kwa Mwenyezi Mungu lakini kwa sasa bado anakula ujana. Akiongea na Gazeti la...
View ArticleDiamond na Davido ndani ya BIFU Zito.....Kisa na mkasa ni Tanzania kushinda...
Usiku wa December 07 Tanzania imechukua tena headline kwenye vyombo mbalimbali vya habari na hii ni baada ya Mtazania Idris kufanikiwa kushinda kwenye shindano la Big Brother Hot Shot 2014. Mara baada...
View ArticleHausigeli ( Dada wa Kazi) Nusura Auawe
Msaidizi wa kazi za ndani (hausigeli), Rehema Ally (17), mkazi wa Yombo, Machimbo Mwisho, Ilala jijini Dar, amechanwachanwa kwa wembe na kisu sehemu mbalimbali za mwili wake, hali iliyosababisha...
View ArticleTaarifa ya Ikulu ya Rais Kikwete kuanza kazi rasmi
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete jana, Jumatatu, Desemba 8, 2014, ameanza kazi rasmi baada ya afya yake kuimarika kufuatia...
View ArticleFilamu ya ‘Nimekubali Kuolewa’ ya Dr Cheni yaruhusiwa kutoka
Msanii wa filamu, Mahsein Awadh Said aka Dr. Cheni’ amesema filamu yake ya ‘Nimekubali Kuolewa’ iliyokuwa imezuiwa kutoka na Bodi ya Filamu Tanzania (TFB) inatarajiwa kutoka mapema mwakani baada...
View ArticleUtafiti waitaja Tanzania miongoni mwa nchi zenye watu wenye roho mbaya Afrika!
Kwa mujibu wa ripoti ya World Giving Index 2014, Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye watu wenye roho mbaya barani Afrika. Hiyo ni kwa mujibu wa utafiti uliodhaminiwa na Charities Aid Foundation...
View ArticleVideo: Mtazame mshindi wa BBA Hotshots, Idris akijibu maswali ya mashabiki wa...
Mtazame mshindi wa BBA Hotshots, Idris Sultan akijibu maswali ya mashabiki mbalimbali wa Afrika Live kupitia Google Hangouts. Wengi wamemuuliza mambo mbalimbali ikiwemo atazitumiaje US $ 300,000...
View ArticleIkulu: Rais Kikwete hatawaadhibu vigogo wa Escrow bila ya uchunguzi
Ikulu imesema pamoja na kuwa Rais Jakaya Kikwete amekwishapokea maazimio ya Bunge kuhusu wanaotuhumiwa kuchota Sh306 bilioni katika Akaunti ya Tegeta Escrow, hawezi kuwachukulia hatua mpaka hapo...
View ArticleLeo ni Sikukuu ya Miaka 53 Ya Uhuru
Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiinua juu bango linalonadi UHURU KAMILI miaka 53 iliyopita. Leo ni sikukuu ya kukumbuka siku hii adhimu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...
View ArticleMITANDAONI:Jionee Shilole Feki Akimwaga Ngeli
Lile wimbi la watu kutumia majina ya mastaa kwenye mitandao ya kijamii bado linaendelea kwa kasi. Mwandishi wetu amekutana huyu anayejiita SHILOLE CLASIC akijifanya kuwa yeye ni Shilole ambaye...
View ArticleViongozi wa CCM, Chadema wapigana Dar, wafikishana Polisi
Zikiwa zimebaki siku tano kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Serikali za mitaa nchini, Katibu wa Kata ya Kisutu, Dar es Salaam wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Sauda Addy na Mjumbe wa Kamati ya Udhamini...
View ArticleZomeazomea ya Escrow yaikera CCM
Kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ambazo zimekuwa zikitawaliwa na zomeazomea na vurugu, zimechukua sura mpya baada ya wafuasi wa CCM kuitwa ‘escrow’ kiasi cha katibu wa chama hicho wilayani...
View ArticleUmesikia habari MPYA kuhusu wale Mapacha walioungana India? ...Bofya hapa...
Mapacha ambao wameungana huko Bengal Magharibi Ganga na Jamuna Mondal 45, wamesema hawajawahi kuwa na mpenzi katika maisha yao kwa sababu ya kukataliwa kutokana na mwonekano wao. Mabinti hao ambao...
View ArticleVurugu kubwa za Wakulima na Wafugaji Zaibuka Dumila,Morogoro......Barabara...
Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi wa Dumila na Mbigiri wilayani Kilosa mkoani Morogoro baada ya kufunga barabara ya Morogoro Dodoma kwa kutumia mawe na...
View ArticleRais Kikwete Kutoa Maamuzi ya Escrow Wiki Ijayo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea Ripoti, nyaraka na ushauri wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu Akaunti ya Tegeta Escrow na atavifanyia...
View ArticleMaadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara yafana jijini Dar leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mikono wananchi waliofurika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya...
View ArticleRais Kikwete Afungua Jengo Jipya La Ikulu ( (Multipurpose Hall)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete jana, Jumatatu, Desemba 8, 2014, amefungua rasmi Jengo la Shughuli Nyingi (Multipurpose Hall) la Ikulu katika moja ya shughuli...
View ArticleRais Kikwete Asamehe Wafungwa 4,969......Kati yao 887 Kuachiwa Huru
RAIS Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 4,969 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, iliyotolewa Dar es Salaam jana, Waziri wa Mambo...
View Article