Staa mwenye shepu ya aina
yake ndani ya Bongo Movies, Tamrina Poshi ‘Amanda’ ameibuka na kusema
kuwa siku ikifika atarejea kwa Mwenyezi Mungu lakini kwa sasa bado
anakula ujana.
Akiongea na Gazeti la Ijumaa Wikienda, Amanda
alisema kwa sasa umri wake unamruhusu kula ujana kwa mambo ya starehe
kama kuvaa mavazi ya kuacha mwili wake nusu utupu kwa sababu muda wa
kurejea kwa Mungu bado
↧