Usiku wa December 07 Tanzania imechukua tena headline kwenye vyombo
mbalimbali vya habari na hii ni baada ya Mtazania Idris kufanikiwa
kushinda kwenye shindano la Big Brother Hot Shot 2014.
Mara
baada ya Mshiriki wa Tanzania Katika Shindano la Big Brother Africa 2014
Idris Sultan kutangazwa mshindi, watanzania wengi walionekana
kufurahishwa sana na Ushindi wake huku wengine
↧