Kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ambazo zimekuwa
zikitawaliwa na zomeazomea na vurugu, zimechukua sura mpya baada ya
wafuasi wa CCM kuitwa ‘escrow’ kiasi cha katibu wa chama hicho wilayani
Arusha, Feruz Bana kutaka wapinzani wazungumze hoja.
CCM ilijikuta kwenye kashfa hiyo inayohusu
uchotwaji wa fedha kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow iliyofunguliwa Benki
Kuu ya Tanzania,
↧