Msanii wa filamu, Mahsein Awadh Said aka Dr. Cheni’ amesema filamu
yake ya ‘Nimekubali Kuolewa’ iliyokuwa imezuiwa kutoka na Bodi ya Filamu
Tanzania (TFB) inatarajiwa kutoka mapema mwakani baada kukamilisha
matakwa yao.
Dokta Cheni alisema kuzuiliwa kwa filamu hiyo kulimnyima raha kiasi
cha kumfanya asifanye kazi nyingine mpaka akamilishe kazi hiyo.
“Nimefanikiwa kuipigania
↧