RAIS Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 4,969 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, iliyotolewa Dar es Salaam jana, Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe alisema msamaha huo utawahusu wafungwa 4,969, ambapo 887 kati yao wataachiwa huru na wafungwa 4,082 watapunguziwa vifungo vyao na kubaki gerezani wakitumikia sehemu
↧