Mkuu Mpya
wa mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo, amelitaka jeshi la polisi mkoani Mwanza kutotumia nguvu pamoja na kufurumusha mabomu ya machozi kuwatimua
wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama machinga mara wanapoombwa na
halmashauri ya jiji bila kupata maelekezo.
Akizungumza
na waandishi wa habari baada ya kuhitimisha ziara yake ya ghafla katika
wilaya ya Nyamagana, Mulongo amesema
↧