Rais Jakaya Kikwete akipeana mkono na Pius Chipanda Msekwa baada ya kumtunuku Nishani.
Rais Jakaya Kikwete akimvisha Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja la Pili Samuel John Sitta. Rais
Jakaya Kikwete akimvisha Nishani ya Ushupavu Kassim Said Kassim ambaye
ni muuza Chips katika maeneo ya Buguruni jijini Dar es Salaam, Kassim
alitunukiwa Nishani hiyo baada ya kupambana
↧