Mkuu Mpya wa Mkoa wa Mwanza Atoa Onyo kwa Jeshi la Polisi......Apiga STOP...
Mkuu Mpya wa mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo, amelitaka jeshi la polisi mkoani Mwanza kutotumia nguvu pamoja na kufurumusha mabomu ya machozi kuwatimua wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama machinga...
View ArticleRais Kikwete Atunuku Nishani Ikulu Dar
Rais Jakaya Kikwete akipeana mkono na Pius Chipanda Msekwa baada ya kumtunuku Nishani. Rais Jakaya Kikwete akimvisha Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja la Pili Samuel John Sitta....
View ArticleHamisa Mobeto na mchumba wake Dj Majey wa E-FM wanatarajia kupata mtoto
Leo Dec.10 ni birthday ya mwanamitindo mrembo Hamisa Mobeto a.k.a kadomo ambaye ni ubavu wa mmoja wa wakurugenzi wa E-FM ambaye pia ni Dj, Dj Majey. Kama ilivyo kawaida kwenye siku kama hizi wapenzi...
View ArticlePicha: Wema Sepetu na Van Vicker wafanya movie Ghana, inaitwa ‘Day After Death’
Wema Sepetu amesafiri hadi jijini Accra, Ghana kwenda kushoot filamu mpya na msanii mashuhuri nchini humo, Van Vicker. Filamu hiyo inaitwa ‘Day After Death’, na inaongozwa na Vicker mwenyewe. Pia...
View ArticleTID: Demu Wangu Kanisaliti......I will never trust a bit*ch Again
Huenda nyimbo anazoskiliza zaidi TID kwa sasa ni pamoja na ‘Loyal’ ya Chris Brown na ‘Sitaki Demu’ ya Juma Nature. TID amedai kusalitiwa na mpenzi wake na hajaona aibu kuliweka hilo wazi. TID...
View ArticleDavido Ampiga Dongo Diamond: " Jiwe lisilo na shukrani hatimaye huanguka"
Huhitaji kujifikiria mara mbili kuamini kuwa Davido na Diamond haziivi tena kwa sasa! Yote yalianza baada ya Davido kutweet ‘N they cheat again, Lol’ baada ya Idris kutangazwa mshindi wa Big Brother...
View ArticleMfanyabiashara Maarufu Moshi Ajiua kwa Risasi
MWEZI mmoja baada ya mfanyabiashara wa Arusha, Timoth Mroki (36) kujiua kwa kujipiga risasi, mfanyabiashara mwingine maarufu wa Moshi, Augustino Mallya, naye amejiua kwa kujipiga risasi akiwa nyumbani...
View ArticleBenki Kukopesha Vijana Nchini......Wasomi Vyuo Vikuu kuzoa hadi milioni...
KATIKA kuhakikisha vijana nchini wanajiajiri, Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) na Benki ya TIB, wameingia mkataba wa kuwawezesha kwa mikopo wajasiriamali vijana wanaomaliza vyuo...
View ArticleVIP ya Rugemalira Yadai Maamuzi ya Bunge Kuhusu Sakata la Escrow ni ya Kipuuzi
Wakati Rais Jakaya Kikwete akitarajia kutoa maamuzi juu ya kashfa ya uchotaji wa fedha zaidi ya Sh. bilioni 300 katika akaunti ya Tegeta Escrow wiki ijayo, Kampuni ya VIP Engineering and Marketing...
View ArticleSerikali ya Awamu ya Nne imefanya makubwa: Lowassa
Waziri mkuu wa zamani Mh Edward Lowassa amewataka watanzania kutokatishwa tamaa na maneno yanayozungumzwa kwenye majukwaa ya kisiasa juu ya utendaji kazi wa serikali iliyoko madarakani, badala yake...
View ArticleOperator Atiwa Mbaroni kwa kuweka Picha za UCHI katika bango Uwanjani
Ajali popote, huyu jamaa amepata ajali kazini tena huenda katika mazingira ambayo hakuwahi kutarajia. Kutokana na sheria kali za China, hii haikuwa makusudi lakini kwa sababu tayari kashafanya kosa...
View ArticleManeno ya Idris kuhusu alichokiandika Davido baada ya ushindi wa Tanzania Big...
Jumapili ya Des 7 ni siku iliyochukua headline kwenye mitandao baada ya Davido kuwakwaza watanzania kwa kile alichokiandika kwenye twitter.Baada ya Mwakilishi kutokea Tanzania Idris Sultan kutangazwa...
View ArticleRais Kikwete Afanya Uteuzi wa Viongozi Mbalimbali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Laurence Nyasebwa Mafuru (pichani) kuwa Msajili wa Hazina kuanzia tarehe 5 Novemba, 2014. Taarifa...
View ArticleHuu ni ushauri wa Chidi Benz kuhusiana na suala la Diamond na Davido
Rapper Chidi Benz amejitosa kuzungumzia mkwaruzano uliotokea kati ya Diamond Platnumz na msanii wa Nigeria Davido. Hiki ndicho alichoandika kwenye ukurasa wake wa Facebook. Mimi binafsi ningeweza...
View ArticleEscrow yatikisa mpaka Marekani.....Yasitisha Mkataba wa Mabilioni ya Pesa...
Wakati Rais Jakaya Kikwete akisubiriwa kutoa maamuzi ya mapendekezo yaliyofikiwa na Bunge kuhusiana na sakata la uchotwaji fedha zaidi ya Sh. bilioni 300 kutoka kaunti ya Tegeta Escrow wiki ijayo,...
View ArticleKafulila Atiwa Mbaroni kwa Uchochezi
JESHI la Polisi linamshikilia Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini, David Kafulila kwa tuhuma za uchochezi, akiwataka wananchi wasichangie ujenzi wa maabara katika shule za sekondari nchini. Kafulila...
View ArticleMwili wa Kichanga Waokotwa ukiwa umetupwa shambani
Mwili wa kichanga cha jinsia ya kike ulioanza kuaribika umeokotwa jana majira ya saa nane mchana katika eneo la Ukonga Sabasaba Kwa Diofu, kwenye shamba la mzee Msindo.
View ArticleShangingi Lachomwa moto baada ya kugonga na kuua madereva watatu wa Bodaboda...
Gari aina ya Toyota VX likiwaka moto baada ya kuchomwa na wananchi jana mchana huko Bunju B jijini Dar kwa kusababisha ajali na kuuwa madereva watatu wa bodaboda.
View ArticleTume ya Taifa ya Uchaguzi Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Ushiriki wa Wanajeshi Kwenye...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetoa ufafanuzi kuhusu ushiriki wa Wanajeshi katika uboreshaji wa zoezi la uandikishaji wa daftari la kupiga kura. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Tume inasema kutakuwepo na...
View ArticleCCM Yawasambaratisha UKAWA Uchaguzi Serikali za Mitaa Dar....Yazoa Maelfu ya...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaingia katika uchaguzi wa serikali za mitaa kesho, kikiwa kimeshajizolea maelfu ya nafasi ambazo wagombea wake wamepita bila kupingwa. Akihutubia kwenye mkutano wa...
View Article