JESHI la Polisi linamshikilia Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini, David Kafulila kwa tuhuma za uchochezi, akiwataka wananchi wasichangie ujenzi wa maabara katika shule za sekondari nchini.
Kafulila alikamatwa mapema jana asubuhi katika mji mdogo wa Nguruka wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma, ambako alikuwa akifanya mikutano ya hadhara, kuelezea sakata la uchotwaji wa fedha katika akaunti ya
↧