Mwili wa kichanga cha jinsia ya kike ulioanza kuaribika umeokotwa jana
majira ya saa nane mchana katika eneo la Ukonga Sabasaba Kwa Diofu,
kwenye shamba la mzee Msindo.
↧