Gari
aina ya Toyota VX likiwaka moto baada ya kuchomwa na wananchi jana mchana huko Bunju B jijini Dar kwa kusababisha ajali na kuuwa madereva
watatu wa bodaboda.
↧