Jumapili ya Des 7 ni siku iliyochukua headline kwenye mitandao baada
ya Davido kuwakwaza watanzania kwa kile alichokiandika kwenye
twitter.Baada ya Mwakilishi kutokea Tanzania Idris Sultan kutangazwa
kuwa mshindi wa Big Brother Africa Hotshots.
Mengi yamezungumzwa na watu,lakini Des 11 mshindi wa Big Brother
Africa Hotshots,Idris Sultan alipata nafasi ya kuzungumza na vyombo vya
↧