Ajali popote, huyu jamaa amepata ajali kazini tena huenda katika mazingira ambayo hakuwahi kutarajia. Kutokana na sheria kali za China, hii haikuwa makusudi lakini kwa sababu tayari kashafanya kosa anastahili hukumu.
Tumezoea kuona mabango ya kisasa
katikati ya Miji kama Dar ambayo yanakuwa yanaonyesha picha kama Tv
ambapo picha zinazoonekana kuwa zinabadilika badilika.
Nje
↧