Waziri
mkuu wa zamani Mh Edward Lowassa amewataka watanzania kutokatishwa
tamaa na maneno yanayozungumzwa kwenye majukwaa ya kisiasa juu ya
utendaji kazi wa serikali iliyoko madarakani, badala yake waipime kwa
utekelezaji wa ilani ya uchaguzi na ahadi ilizotoa kwani licha ya
changamoto zilizopo imefanya mambo mengi makubwa na yanayoonekaana.
Akizungumza katika mikutano ya kuwanadi
↧