Wakati Rais Jakaya Kikwete akitarajia kutoa maamuzi juu ya kashfa ya uchotaji wa fedha zaidi ya Sh. bilioni 300 katika akaunti ya Tegeta Escrow wiki ijayo, Kampuni ya VIP Engineering and Marketing Limited, imedai maamuzi ya Bunge yaliyopendekezwa na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ni ya kipuuzi.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari jana yenye kurasa 19 na orodha ya
↧