KATIKA kuhakikisha vijana nchini wanajiajiri, Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) na Benki ya TIB, wameingia mkataba wa kuwawezesha kwa mikopo wajasiriamali vijana wanaomaliza vyuo vikuu nchini na vingine vya kati ili waweze kujiajiri.
Katika makubaliano hayo, TIB itatoa mikopo hiyo na kwa kuanzia kiasi cha Sh bilioni 1 kimetengwa kwa ajili ya mpango huo utakaoratibiwa
↧