Wema Sepetu amesafiri hadi jijini Accra, Ghana kwenda kushoot filamu mpya na msanii mashuhuri nchini humo, Van Vicker.
Filamu hiyo inaitwa ‘Day After Death’, na inaongozwa na Vicker mwenyewe.
Pia mtoto wa kike wa msanii huyo ataigiza kwenye filamu hiyo ambayo
Vicker anaiita kitu chake kikubwa kijacho.
Kupitia Instagram, muigizaji huyo wa Ghana amemsifia Wema kwa jinsi
↧