Leo Dec.10 ni birthday ya mwanamitindo mrembo Hamisa Mobeto a.k.a
kadomo ambaye ni ubavu wa mmoja wa wakurugenzi wa E-FM ambaye pia ni Dj,
Dj Majey.
Kama ilivyo kawaida kwenye siku kama hizi wapenzi hutakiana heri ya
siku ya kuzaliwa, kitu ambacho hata Majey kakifanya kwa Hamisa, lakini
wishes hizo zimeambatana na kuweka wazi kuwa wawili hao wanatarajia
kupata mtoto.
↧