Rapper Chidi Benz amejitosa kuzungumzia mkwaruzano uliotokea kati ya
Diamond Platnumz na msanii wa Nigeria Davido. Hiki ndicho alichoandika
kwenye ukurasa wake wa Facebook.
Mimi binafsi ningeweza kumwambia mdogo wangu Dimooond aseme haya
mambo yapite na Davido sorry my brotha,watu wote tuacheni marumbano na
isiwe mapema hivi tunashindana..wote Africa Lugha zimechanganyana plus
↧