Chama
Cha Mapinduzi (CCM) kinaingia katika uchaguzi wa serikali za mitaa
kesho, kikiwa kimeshajizolea maelfu ya nafasi ambazo wagombea wake
wamepita bila kupingwa.
Akihutubia
kwenye mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi huo, katika Mtaa wa
Mtambani B, Kata ya Jangwani, jimbo la Ilala jijini Dar es Salaam,
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye alisema, kulingana na
↧