MTU
mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 27 mpaka 30 ambaye jina
lake halijafahamika mpaka sasa amekutwa akining'inia juu ya mti wa
Mwembe uliopo katika pori lililopo nje kidogo ya mji wa Pongwe,Mkoani
Tanga akiwa amejinyonga.
Hali
ya sintofahamu iliendelea kutanda katika eneo hilo huku kila alieweza
kufika katika eneo hilo la tukio akiwa na mshangao wa kipi
↧