Mtu Mmoja Akutwa Amejinyonga Porini
MTU mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 27 mpaka 30 ambaye jina lake halijafahamika mpaka sasa amekutwa akining'inia juu ya mti wa Mwembe uliopo katika pori lililopo nje kidogo ya mji wa...
View ArticleDiamond na Ommy Dimpoz watajwa kuwania tuzo za HiPipo Music Awards 2015 za...
Mastaa wa Tanzania Nasibu Abdul a.k.a Diamond Platnumz na Omary Nyembo a.k.a Ommy Dimpoz, nyimbo zao zimetajwa kuwania tuzo za HiPipo Music Awards (HMA2015) za Uganda zinazotarajiwa kutolewa mwakani....
View ArticleRay: Uwezo unao, kwanini unasumbua watu na michango ya harusi
Muigizaji wa filamu nchini, Vicent ‘Ray’ Kigosi amedai kushangazwa na watu wenye uwezo mkubwa lakini bado kwenye harusi zao wanachangisha michango. Akizungumza kwenye kipindi cha Boys Boys cha TV1,...
View ArticleAT ashinda kesi dhidi ya mganga wa jadi aliyemshitaki kwa kutomlipa pesa...
Muimbaji wa Mduara, AT ameshinda kesi iliyokuwa ikimkabili na iliyofunguliwa na mganga wa jadi kwa madai kuwa hakulipwa fedha baada ya kumpandisha nyota na kupata mafanikio mengi. Akizungumza XXL ya...
View ArticleMagazeti ya Leo Jumamosi ya Tarehe 13 Disemba 2014
Magazeti ya Leo Jumamosi ya Tarehe 13 Disemba 2014
View ArticleHappyness asema sapoti ya watanzania imempa nguvu
Mshiriki anayeiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World, Happiness Watimanya amewashukuru watanzania kwa kuanza kuonesha muamko wa aina yake na kumpigia kura kuiwezesha Tanzania kuingia...
View ArticleTayo wa Big Brother Akanusha kupewa $350,000 na Bilionea
Mshindi wa pili wa BBA Hotshots, Tayo kutoka Nigeria amekanusha habari zilisambaa wiki hii kuwa amezawadiwa $350,000 na bilionea wa Nigeria, Ayiri Emani baada ya kuzikosa $300,000 za BBA...
View ArticleLulu: Hapyy Akishinda Miss World ntaitwa Luppy
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu' amendika katika Instagram kuwa mshiriki wa Tanzania kwenye Miss World, Happiness Watimanywa akishinda atabadilisha jina na kuitwa Luppy!
View ArticleIdris Amfungukia Lulu Michael
KWA mara ya kwanza baada ya kutua Bongo, Mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshort (2014), Idris Sultan amemfungukia mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ na kudai ni rafiki yake wa karibu. Kabla...
View ArticleMke afumaniwa, amgeuzia kibao mume wake Polisi
Jamaa mmoja alisababisha kizaazaa baada ya kuvamia chumbani ambako mtu na mkewe walikuwa wamelala. Fununu zinasema jamaa huyo baada ya tukio hilo alimhoji mkewe kwamba huyo aliyeingia bila hodi...
View ArticleRolene Strauss wa Afrika Kusini ashinda taji la Miss World
Miss South Africa, Rolene Strauss ndiye Miss World 2014. Mrembo huyo mwenye umri wa miaka 22 na mwanafunzi wa medical ameshinda taji hilo kwenye shindano hilo lililofanyika Jumapili jijini London,...
View ArticleVibaka Wamfanyia Kitu maya Aunty Lulu
Huku akiwa bado hajapona jeraha la kuchanwa usoni na bwana’ke, mwanadada asiyeishiwa matukio Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amefanyiwa kitu mbaya na vibaka na kumnyang’anya kila alichokuwa nacho....
View ArticleMajambazi wavunja Kanisa Katoliki Kilema, wapora
Kundi la watu wanaodhaniwa ni majambazi, wamevamia na kupora fedha taslimu na vitu mbalimbali katika Kanisa Katoliki la Kilema, Jimbo la Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro. Tukio hilo lilitokea usiku...
View ArticleShinyanga: Aua mke kwa kumpigia kura mgombea wa CCM
Katika mtaa wa Mwandu kata ya Tinde wilaya ya Shinyanga mkoani Shinyanga, mwanaume mmoja amemuua mke wake kwa kumpiga makonde kutokana na kile kinachoelezwa kuwa kwa kumchagua mgombea wa CCM badala...
View ArticleUchaguzi wa Serikali za Mitaa waingia Dosari
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji uliofanyika jana nchini Tanzania ulitawaliwa na kasoro na vurugu zilizosababisha polisi kutumia risasi na mabomu ya machozi huku baadhi ya wapiga...
View ArticleHausigeli Aliyemtesa Mtoto Uganda Ahukumiwa Jela Miaka Minne
Hausigeli aliyenaswa kwenye video akimtesa mtoto nchini Uganda, amehukumiwa kwenda jela miaka minne katika mahakama moja nchini humo. Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe (22) aliiambia mahakama kuwa...
View ArticleTukio la uvamizi Mgahawa uliopo katikati ya Jiji, hali bado tete
Polisi wakimpokea mmoja wa mateka kutoka katika mgahawa wa Lindt jijini Sydney Hali ni tete katika mgahawa wa Lindt uliopo katikati ya Jiji la Sydney, Australia baada ya kundi la watu ambao...
View ArticleSamantha wa Big Brother Kutua Tanzania leo kula bata na Idris
Mashabiki wa muungano wa pamoja kati ya mshindi wa Big Brother Hotshots, Idris Sultan na swahiba wake Samantha wa Afrika Kusini watawaona tena wakiwa pamoja kuanzia leo Mrembo huyo anatarajiwa kutua...
View ArticleMajambazi Sita yauawa mkoani Kagera
Jeshi la polisi mkoani kagera limefanikiwa kuwauwa majambazi Sita waliokuwa wanapanga kuteka mabasi katika eneo la Ngazi Saba wilayani Biharamulo. Akizungumza mkoani Kagera Kamanda wa Jeshi la Polisi...
View ArticleDiamond lawamani Mombasa, adaiwa kuwafukuza Nyota Ndogo na wasanii wengine...
Kunyanyaswa kwa wasanii wa Kenya, kumemfanya Diamond na waandaji wa show yake ya Mombasa weekend iliyopita kutupiwa lawama na wapenzi wa muziki nchini humo. Mtandao wa Standard Media wa Kenya,...
View Article