Huku akiwa bado hajapona jeraha la kuchanwa usoni na
bwana’ke, mwanadada asiyeishiwa matukio Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty
Lulu’ amefanyiwa kitu mbaya na vibaka na kumnyang’anya kila alichokuwa
nacho.
Akizungumza na Gpl, Aunty Lulu alisema tukio hilo lilitokea
wiki iliyopita maeneo ya Mwenge, jijini Dar ambapo alikuwa akikatiza
mitaa hiyo usiku, vibaka walimvamia na kumpiga maeneo ya
↧