Muigizaji wa filamu nchini, Vicent ‘Ray’ Kigosi amedai kushangazwa na
watu wenye uwezo mkubwa lakini bado kwenye harusi zao wanachangisha
michango.
Akizungumza kwenye kipindi cha Boys Boys cha TV1, Ray ameshauri ni
bora kujipanga kabla ya kuoa kuliko kuwasumbua watu na kadi za michango.
“Sio mtu unawapa watu mizigo isiyo ya kwao,” alisema.
“Kama una uwezo
fanya mwenyewe, kwa
↧