Mashabiki wa muungano wa pamoja kati ya mshindi wa Big Brother
Hotshots, Idris Sultan na swahiba wake Samantha wa Afrika Kusini
watawaona tena wakiwa pamoja kuanzia leo
Mrembo huyo anatarajiwa kutua jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu. Awali alikuwa atue jana Jumapili lakini alichelewa ndege.
Hey everyone sadly Samantha has missed her flight because of a few complications but
↧