Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji uliofanyika jana
nchini Tanzania ulitawaliwa na kasoro na vurugu zilizosababisha polisi
kutumia risasi na mabomu ya machozi huku baadhi ya wapiga kura
wakipigana sehemu tofauti tofauti nchini.
Vurugu
hizo zilitokana na uchaguzi huo kugubikwa na kasoro nyingi na hivyo
kusababisha baadhi ya vituo kulazimika kuahirisha uchaguzi hadi
↧