Mshindi wa pili wa BBA Hotshots, Tayo kutoka Nigeria amekanusha
habari zilisambaa wiki hii kuwa amezawadiwa $350,000 na bilionea wa
Nigeria, Ayiri Emani baada ya kuzikosa $300,000 za BBA zilizonyakuliwa
na Idris wa Tanzania.
Tayo amekanusha habari hizo alipohojiwa na kituo cha Radio 1 South
Africa. Amesema kuwa habari hizo za kupewa kiasi hicho kikubwa cha pesa
na huku hata
↧