Kunyanyaswa kwa wasanii wa Kenya, kumemfanya Diamond na waandaji wa
show yake ya Mombasa weekend iliyopita kutupiwa lawama na wapenzi wa
muziki nchini humo.
Mtandao wa Standard Media wa Kenya,
umeandika kuwa kwenye show hiyo iliyohudhuriwa na watu kibao, Diamond
alitaka wasanii wengine wote waliokuwa watumbuize kwenye show hiyo na
waliokuwa wamepangiwa kukaa naye kwenye VIP lounge,
↧