Katika mtaa wa Mwandu kata ya Tinde wilaya ya Shinyanga mkoani
Shinyanga, mwanaume mmoja amemuua mke wake kwa kumpiga makonde kutokana
na kile kinachoelezwa kuwa kwa kumchagua mgombea wa CCM badala ya wa
CHADEMA.
Imeelezwa kuwa mwanaume huyo ni mfuasi wa CHADEMA huku mke wake akiwa ni mfuasi wa CCM.
Tukio
linaelezwa kuwa limetokea jioni ya jana baada ya mume kumuuliza mkewe
↧