KWA mara ya kwanza baada ya kutua Bongo, Mshindi wa
Shindano la Big Brother Hotshort (2014), Idris Sultan amemfungukia
mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ na kudai ni rafiki yake wa karibu.
Kabla mshindi huyo hajakanyaga Bongo, Lulu alishambuliwa mitandaoni
baada ya kujinadi kuwa na urafiki wa karibu na Idris lakini kwa kauli
hiyo, imeonesha dhahiri wawili hao ni marafiki wa kweli
↧