Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa...
Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa mbalimbali za asili. Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha...
View ArticleMgombea CCM, mpigakura wafariki dunia ghafla
Mgombea uenyekiti kupitia CCM Mtaa wa Swea, Kata ya Mkolani, Nyamagana, Mwanza, Pius Mihayo amefariki dunia ghafla akiwa mtaani kwake, muda mfupi baada ya kupiga kura. Msimamizi wa uchaguzi huo,...
View ArticlePolisi Kagera yatawanya maandamano ya CHADEMA
Jeshi la Polisi mkoani Kagera limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wakiandamana huku wakifurahia...
View ArticleCCM Mtwara yakiri kukabiliwa na upinzani Mkubwa
Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Mtwara kimekiri kuwa upinzani umekuwa mkubwa hasa maeneo ya mjini baada ya matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa kuonesha kuwa CCM imeshinda viti 58, wakati vyama...
View ArticleWatendaji Waliovuruga Uchaguzi wa Serikali za mtaa Kufukuzwa Kazi
SERIKALI imesema itachukua hatua kali ikiwemo kuwafukuza kazi, kuwavua madaraka, kuwashusha vyeo na kuwakata mishahara viongozi walioshindwa kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa na kusababisha...
View ArticleMganga wa Jadi awachoma Moto Wateja Wake
Mganga wa tiba za asili, Omari Kikukwa (32) mkazi wa Kijiji cha Bondo , Kata ya Mswaki wilayani hapa anashikiliwa na polisi kwa kuwachoma moto wateja wake na kusababisha kifo cha mtu mmoja. Aziza...
View ArticleCHADEMA Yatikisa Tarime
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimezoa viti vingi vya vitongoji, mitaa na vijiji vilivyokuwa vikikaliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Tarime. Matokeo ya awali yanaonesha Chadema...
View ArticleAliyeshinda CHADEMA Akutwa Amekufa Kisimani huko Geita
Kumetokea hali isiyo ya kawaida iliyowastua wananchi wa mtaa wa Msalala Road mkoani Geita ya kuondokewa na mgombea wa nafasi ya Wajumbe wa Serikali za Mitaa (Viti Maalumu) kupitia chama cha Demokrasia...
View ArticleAuawa akishangilia ushindi wa CHADEMA
Imeelezwa kuwa uchaguzi wa kuwapata viongozi wa Serikali za Mitaa nchini uliofanyika juzi Jumapili umeendelea kumwaga damu ambapo mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Simeo Isaka (42), mkazi wa...
View ArticleMatokeo ya Uchaguzi wa Wenyeviti wa Serikali za Mtaa Mkoa wa Mwanza
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Halifa Hida, ofisini kwake akiwa mbele ya waandishi wa habari ametangaza matokeo ya uchaguzi wawenyeviti wa serikali za mitaa katika mitaa 175 ya Jimbo la...
View ArticleUchaguzi wa marudio, Katibu wa Mbunge ajeruhiwa Vibaya
Chama cha Demokrasia na Maendeleo wilayani Iringa kimelalamikia rafu na kasoro mbalimbali zilizojitokeza katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Disemba 14 na kusema kuwa uchaguzi huo...
View ArticleCUF:Waziri Mkuu na Waziri wa TAMISEMI wawajibishwe
Chama cha Wananchi - CUF kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kumuwajibisha Waziri Mkuu na Waziri wa TAMISEMI kwa kushindwa kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa baada ya kuibuka dosari kubwa zikiwemo...
View ArticleCCM yasikitishwa na dosari katika uchaguzi wa Serikali za Mtaa.....Yataka...
Chama cha Mapinduzi CCM kimesema hakioni sababu ya suala la waliohusika kusababisha dosari zilizojitokeza wakati wa zoezi la upigaji kura kuundiwa tume au kuchunguzwa wakati wanajulikana. Chama hicho...
View ArticleWatu 7 Wafariki katika Ajali Mbaya ya Basi la Mohammed Trans
Watu saba wamefariki Igunga, mkoani Tabora, ambapo wengi wamejeruhiwa baada ya basi la Mohammed Trans lililokuwa likitoka Mwanza kuelekea Dar es Salaam, kukatika 'steering power' na kuacha njia...
View ArticleKibaka Anusurika "Kuchomwa Moto" Baada ya Kuiba Pikipiki Magomeni Dar
Kijana ambaye jina lake haikufahamika mara moja, amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kwa tuhuma za wizi wa pikipiki jijini Dar.Tukio hilo la kusisimua limetokea jana asubuhi...
View ArticleSakata zima La Mabasi Kutekwa jijini Mwanza ambapo Abiria walijeruhiwa Vibaya...
Jumla ya magari saba yakiwemo mabasi mawili yaliyokuwa yakitokea jijini Dar es Salaam kuelekea Mwanza, yametekwa na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi usiku wa kuamkia Jumamosi ya wiki iliyopita, saa...
View ArticleEscrow yamng’oa Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Jaji Frederick Werema
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema (pichani) Disemba 16 amejiuzulu nafasi yake na tayari amemwandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Jakaya Kikwete....
View ArticleWakurugenzi Wafukuzwa kazi kwa uzembe uliojitokeza wakati wa Uchaguzi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia (pichani) leo amewavua madaraka wakurugenzi wa Kasulu, Bunda, Serengeti, Mkuranga, Sengerema, Kaliua kwa uzembe...
View ArticleAisha Madinda Afariki dunia
Aliyekuwa mnenguaji na mwimbaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam. Akiongea na Mpekuzi, Mkurugenzi wa bendi ya Twanga Pepeta amesema kuwa alipewa...
View ArticlePenny- Natamani Mtoto lakini sina wa Kuzaa nae
Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ Penniel Mwingilwa amesema sasa anatamani kuzaa lakini tatizo lipo kwa mwanaume wa kuzaa naye. Penny alitoa tamko hilo baada ya Diamond kunukuliwa...
View Article