MWIGIZAJI wa
sinema za Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu' amendika katika Instagram
kuwa mshiriki wa Tanzania kwenye Miss World, Happiness Watimanywa
akishinda atabadilisha jina na kuitwa Luppy!
↧