Miss South Africa, Rolene Strauss ndiye Miss World 2014. Mrembo huyo mwenye umri wa miaka 22 na mwanafunzi wa medical
ameshinda taji hilo kwenye shindano hilo lililofanyika Jumapili jijini
London, Uingereza.
Miss Hungary Edina Kulcsar alishika nafasi ya pili na Miss United States, Elizabeth Safrit akishika nafasi ya tatu.
Kabla ya ushindi orodha ya warembo walioingia Top 10
↧