Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Hausigeli Aliyemtesa Mtoto Uganda Ahukumiwa Jela Miaka Minne

$
0
0
Hausigeli aliyenaswa kwenye video akimtesa mtoto nchini Uganda, amehukumiwa kwenda jela miaka minne katika mahakama moja nchini humo. Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe (22) aliiambia mahakama kuwa anajutia kile alichokifanya na anaomba msamaha kwa familia na jamii nzima. Amehukumiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>