Mshiriki
anayeiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World, Happiness
Watimanya amewashukuru watanzania kwa kuanza kuonesha muamko wa aina
yake na kumpigia kura kuiwezesha Tanzania kuingia katika orodha ya 10
bora ya Chaguo la Watu la washiriki wenye nafasi ya kushinda Miss World
Mwaka huu.
Mrembo huyu ameweza kuongea na Moekuzi akiwa jijini London na kusema kuwa, sapoti ya
↧