Jeshi la polisi mkoani kagera limefanikiwa kuwauwa majambazi Sita
waliokuwa wanapanga kuteka mabasi katika eneo la Ngazi Saba wilayani
Biharamulo.
Akizungumza
mkoani Kagera Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera Henri
Mwaibambe amesema jeshi la polisi lilipata taarifa ya kwamba kuna
kundi la majambazi linafanya mpango wa kuteka magari na kufanya
uporaji katika eneo la
↧