Polisi wakimpokea mmoja wa mateka kutoka katika mgahawa wa Lindt jijini Sydney
Hali ni tete katika mgahawa wa Lindt uliopo katikati ya
Jiji la Sydney, Australia baada ya kundi la watu ambao hawajatambulika
kuvamia mgahawa huo na kuwashikilia mateka ambao idadi yao
haijafahamika.
Baadhi ya watu ndani ya jengo hilo wameonekana kupitia madirisha wakiwa wamebeba bendera nyeusi zenye maneno
↧