STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' usiku wa kuamkia
leo ameshinda tuzo nyingine huko Lagos nchini Nigeria kutoka The Future
Awards Africa Prize in Entertainment 2014.
Tuzo hiyo ya Diamond ilipokelewa na Meneja wake Salaam na kwenye
kipengele cha tuzo hiyo kulikuwa na wakali wengine wakiwemo Panshack au
Ice Prince wa Nigeria na Michael Kwesi kutoka nchini Ghana.
↧