Ikulu imesema pamoja na kuwa Rais Jakaya Kikwete amekwishapokea
maazimio ya Bunge kuhusu wanaotuhumiwa kuchota Sh306 bilioni katika
Akaunti ya Tegeta Escrow, hawezi kuwachukulia hatua mpaka hapo uchunguzi
kuhusu suala hilo utakapokamilika.
“Rais lazima aagize vyombo vya uchunguzi kufanya
kazi yake na baada ya hapo ndipo atapata mahali pa kuanzia. Watu wengi
walitaka Rais Kikwete
↧