It’s official, Oneza haipo tena. Feza Kessy na mpenzi wake wa Botswana, O’neal wameachana.
Feza ameiambia Mpekuzi kuwa ni yeye mwenyewe ndiye alitoa taarifa hiyo kupitia Twitter japo aliamua kuifuta tweet hiyo.
“Ni kweli tumeachana, siwezi kuongelea in detail, ya matatizo vitu
vingine vitafunguka in the future, lakini kwa sasa it’s better when I
apart, so nilitangaza through Twitter
↧