Wanasema ni vyema kutumainia mema na kujiandaa kwa mabaya na wengine
wanaonya kuwa ukiwa na matarajio makubwa usishangae kufedheheshwa kwa
kiasi kikubwa pia.
Pamoja na misemo hiyo, ni wazi tuna kila sababu ya kuwa na matumaini
kuwa kijana wetu Idris Sultan anaweza kushinda taji la Big Brother
Africa, Hotshots.
Tunaona jinsi ambavyo mastaa na watu wa kawaida katika
nchi za Afrika
↧