Muigizaji Diana Elizabeth Michael kama anavyojiita kwenye ukurasa
wake wa INSTAGRAM, maarufu kwajian la LULU ni mmoja kati wa mastaa wa
Bongo movie wanaotumia kurasa zao kwenye mtandao wa INSTAGRAM ku-Share
nasi picha zao, stori na jumbe mbalimbali .
Hivi majuzi mwanadada LULU aliweka picha matata (icheki hapo juu)
ambayo iliwafanya Followers wake kwenye ukurasa wake watoe
↧