Nyumbani kwa Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, Wema Sepetu,
kumetokea tukio la kushangaza la watu wawili wanaodaiwa kuwa mafundi,
kupigwa na kudhalilishwa kwa kuachwa uchi wakidaiwa kuhusika na wizi.
Akizungumza na Mpekuzi jana, jirani wa Wema aliyetambulika kwa jina la
Mama Steve, alisema tukio hilo lilitokea Ijumaa majira ya saa 5 asubuhi
mpaka saa 9 jioni.
“Waliopigwa
↧